Samatta na Msuva waiangamiza Cape Verde Uwanja wa Taifa

IF YOU ARE 18 YEARS CLICK BELOW TO WATCH AND DOWNLOAD FULL VIDEO

Tuesday, October 16, 2018

Samatta na Msuva waiangamiza Cape Verde Uwanja wa Taifa

Washambuliaji wawili wanaochezea soka la nje Mbwana Ally Samatta na Saimon Msuva wamefanikiwa kuitoa kimasomaso timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya kuisaidia kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya wapinzani wao Cape Verde. 
Share :
Facebook Twitter Google+

 

Back To Top